Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Imamu Hussein alayhi Salamu aliposema; هل من ناصر ينصررنا! هل عمغيث يغيثنا Eheee Je kuna yeyote anayetaka kitunusuru atumusuru? Eheee Je kuna yeyote anayetaka kutusaidia aje atusaidie? Singida wakasema Labayka ya Hussein! Labayka ya Hussein! Labayka ya Hussein! Yazid na udanganyifu wake Singida hana nafasi
8 Julai 2025 - 00:19
News ID: 1705555
Your Comment